TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Alex Song

The Typologically Different Question Answering Dataset

Song alizaliwa katika mji mkuu wa Douala nchini Kamerun na kupoteza baba yake akiwa na umri wa miaka tatu.  Tangu wakati huo, mjomba wake maarufu zaidi, Rigobert Song, amekuwa kama babake wa pili na alikuwa mshawishi mkubwa katika kumfanya Alex kuchagua kandanda kama wasifu.  Alex Song alitaka kuwapa watoto wake malezi mazuri katika maisha, ambayo anadai hakuipata yeye; alioa akiwa na umri wa miaka 18 na sasa ni baba wa watoto wawili, na yule mkubwa ana umri wa miaka miwili na anaitwa Nolan.